Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,387
Picha himo humu mkuu[emoji23]Kwahiyo mkuu ndiyo umeweka picha mpaka network imekata jf, hebu irudiwe kuna wengine tulikua mbali na vilongalonga vyetu
Picha himo humu mkuu[emoji23]Kwahiyo mkuu ndiyo umeweka picha mpaka network imekata jf, hebu irudiwe kuna wengine tulikua mbali na vilongalonga vyetu
Haifunguki eti mods wanatabu sanaPicha himo humu mkuu[emoji23]
Duh itafunguka hapo baadae,utaona[emoji16]Haifunguki eti mods wanatabu sana
Sawa mkuuDuh itafunguka hapo baadae,utaona[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]ila HS Mungu anamuonaOooh ikiwa Valentina anaona kama namdanganya
Basi ajaribu kuomba pichaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji443][emoji446][emoji449][emoji442][emoji441]
Naimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulikuwa tunaelekea huko ila shule imempenda zaidi 😒😒My uncle mnyoe kama pogba [emoji13] namuanda kuwa mwanasoka bora
Ngoja kwanza kidogo 😁😁Hahahaha leta handle yako kwanza tukakuinue
Ah safiiii[emoji13][emoji13]Tulikuwa tunaelekea huko ila shule imempenda zaidi [emoji19][emoji19]View attachment 1946217
Tumepunguza kipilipili chetu 😒😒View attachment 1945699eView attachment 1945698
Sawa BAK naelewa.
Ila si unaweka hata mguu tu..Au unatoa sura[emoji2]
Sawa..Unique tattoos zinaweza kujulikana.
Yaani anatuchomesha mahindi humu tangu huu Uzi umeanza 2019[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]ila HS Mungu anamuona
Nadhani ni miongoni mwa majina ya Mungu likiwa na maana ya Mbarikiwa kwa sababu anastahili kwa kuwa alituokoa(mkombozi) na anaendelea kutuokoaHosanna tafsiri yake ni nyumba ya ibada right?