Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,815
Hapana Mkuu..Mkuu wewe ni mmoja wa wale walioondoka na Mama nini
Hapana Mkuu..Mkuu wewe ni mmoja wa wale walioondoka na Mama nini
Hahaha mkuu Nimelala sema tu bado sijafumba machoHivi hulali au matokeo ya simba yamekuvunja moyo![]()
Njaa hiyo 😁 huna hata mkate ndani?Huyu fundi aliejenga hii nyumba alikosea kupiga dali. Kuna sehemu hajaweka misumari.
Nalipoti kesho kwa mwenye nyumba.
Hahaahaa aisee usilale njaa fanya vyote ila acha ata kiporo.Njaa hiyo 😁 huna hata mkate ndani?
Haki nimechekaWe ukome sio mimi zilikuwa bia tu
,nasubiri ukilewa tena

Thanks 😊Anamaanisha kwamba, uko makini kwa sababu ya reflection ya image yako kwenye kioo ulivyoificha, which means usingeziba uso hapo kwenye side mirror tungekuona picha yako, by the way upo makini kuziba image yako kwenye side mirror.
you are beautiful.
Unapenda mbususu eeh![]()
Mkianza mni tag
![]()
Irudiwe irudiwe umeficha sura
Huyo mbona humdai picha?
Nasubiri kula kwa macho .
Hallelujah..naomba uniandalie sangara mkubwa napenda sehemu ya kichwa.
Mbuzi nitakwenda kula na vijana dodoma
Nigaie hizo lips mrembo