Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Upo mkoa gani dear?Kweli kabisa
Wiki tu unabadirika,yaani daah
Huku baridi limezidi jamani
Kama ni Mbeya baridi huwa haiishi[emoji23]
Ila joto la Dar[emoji119][emoji119]na jua,,Yaani leo nilitamani nishuke kwenye gari njiani nibadilishe nguo .