NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Ndio maana lazima nipitie uzi huu kila siku.
Hii ni special kwako Mshana Jr na nduguzo wanywa maji ya dhahabu[emoji6][emoji6][emoji6]
View attachment 1944058
Halafu kuna boya eti lilipiga chini mpaka likaja kuanzishiwa uzi wa maumivu na masononeko humu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nikifungua ka-spot mtakuja kuniungishaa??🙂Magical Water [emoji7].
Utaalamu gani mkuu😂😂Picha za humu zimekaa kitaalamu sana [emoji2]
Hi Soulmate! Habari ya jpiliJamani soulimeti [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8]
Nzuri aisee. Asante kwa kuipamba Jumapili hii njema iliyobarikiwa [emoji1545]Hi Soulmate! Habari ya jpili
Nakusalimia binti yangu. Kwema huko? Hujapita tena Lamadi au unapita kimya kimya?Anko Mshana Jr karibia hapa
Yaani sisi wabongo [emoji23][emoji23][emoji23]Tofauti ya nyeusi na nyeupe, View attachment 1944873
Nikifungua ka-spot mtakuja kuniungishaa??[emoji846]
Hahaa, Lol.Lol I looked like I didn't have any meat at all? Damn! That's tuff.
Mie naomba uninunulie MandelaMi utaniawekea na kasofa cha kuegesha ubavu kabisa maana ntakua siondoki [emoji1787]
Mbona hufananii huu mwili jamani diaSunday[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]View attachment 1944978
Mmh Umenenepa lini dogoSunday[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]View attachment 1944978