Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,997
- 137,035
Babu,kuna baharia kasema anataka snipe kiwanja napo juuWikiendi ijayo tukiwa wazima nitajitahidi aisee. Nitaselfika hapa

Babu,kuna baharia kasema anataka snipe kiwanja napo juuWikiendi ijayo tukiwa wazima nitajitahidi aisee. Nitaselfika hapa

Uko makini ajabu. Mwingine asingeona hiyo saiti mira!
Mtume kwangu. Kisijekuwa kiwanja cha utapeli tukaishia kuingizwa mkenge. Tunataka kuona hati halali kwanza na barua za uthibitisho kutoka serikali ya kijijiBabu,kuna baharia kasema anataka snipe kiwanja napo juu![]()
We ukome sio mimi zilikuwa bia tuBabu,kuna baharia kasema anataka snipe kiwanja napo juu![]()
Inshallah nitakuwepo. Usisahau kunitonya! Mbuzi mzima anakuhusu!Tukijaaliwa uzima na afya nitapita mwezi wa kumi

Mkuu, kabla sijalala ninakunywa glass 3-4 za maji, nikishtuka muda wowote baada ya kulala ninapiga glass ya maziwa, saa 10:30 -11:15 alfajiri lazima niamke, nikiwa dar ninajiandaa nnaenda azania front kusali, nikitoka hapo kuna mahali ninapitia kahawa...nikishindwa kufanya haya,Redbull will do its bestHangover mkuu unafanyeje kwa haya makitu? Kichwa si kitakuwa kinadunda hatari au inakuwaje?
Wote hovyo tu. Kwa nini wasifaulu mitihani yao?Simba ka'sup, Yanga ame'discogeraldincredible
Ana duka la nguo mkuu, asante sana.Namkaribisha apate jeans zinazofit bila kuweka hiyo mikunjo
Kama dongo hivi 😏😏Uko makini ajabu. Mwingine asingeona hiyo saiti mira!
Hallelujah..naomba uniandalie sangara mkubwa napenda sehemu ya kichwa.Inshallah nitakuwepo. Usisahau kunitonya! Mbuzi mzima anakuhusu!![]()
Siyo dongoKama dongo hivi![]()

Hamna shida. Tutakwenda hapo ziwani. Utachagua mwenyewe unayemtaka. Hata utake anayepumua bado utaletewa na vijana!Hallelujah..naomba uniandalie sangara mkubwa napenda sehemu ya kichwa.
Mbuzi nitakwenda kula na vijana dodoma
Mkuu, kabla sijalala ninakunywa glass 3-4 za maji, nikishtuka muda wowote baada ya kulala ninapiga glass ya maziwa, saa 10:30 -11:15 alfajiri lazima niamke, nikiwa dar ninajiandaa nnaenda azania front kusali, nikitoka hapo kuna mahali ninapitia kahawa...nikishindwa kufanya haya,Redbull will do its best

Anamaanisha kwamba, uko makini kwa sababu ya reflection ya image yako kwenye kioo ulivyoificha, which means usingeziba uso hapo kwenye side mirror tungekuona picha yako, by the way upo makini kuziba image yako kwenye side mirror.Kama dongo hivi 😏😏
Ha ha nimekusoma chief, hata hivyo upepo wa dala dala to and from kanisani, pamoja na kuimba na kuabudu) na kahawa (caffeine) au Redbull(=caffeine)huwa vinanisaidia (mfano azania kama dk 15-20 ni kuimba na kucheza siku inaanza mtu unakuwa active), nitafanya research how nitarudisha mrejeshoUmesomeka mkuu. Nitaijaribu hii mbinu siku moja (isipokuwa hapo kwenye kusali Azania Front na Redbull)![]()
Asante kwa kunisaidia kufafanua mkuu. Asante sanaAnamaanisha kwamba, uko makini kwa sababu ya reflection ya image yako kwenye kioo ulivyoificha, which means usingeziba uso hapo kwenye side mirror tungekuona picha yako, by the way upo makini kuziba image yako kwenye side mirror.
you are beautiful.

Hamna shida. Tutakwenda hapo ziwani. Utachagua mwenyewe unayemtaka. Hata utake anayepumua bado utaletewa na vijana!
Tunapeana mbinu za kuondoa hangover baada ya kujipigilia nyagi na ma K-Vant. Azania imeingia kiana japo ufanyakazi wake katika kuondoa hangover bado haueleweki vizuri na unahitaji utafiti kidogo.Sijui mmeanzia wapi lakini ningependa kujua Kwanini sio kusali Azania.
The Wolf nikija mjini nipitie twende wote mimi ni mAzania mwenzako
Ohooo okyy..inawezekana lakini nafikiri ni vile ambavyo umeuzoesha mwili na kusikamia kile unachokiamini.kwani Daddy SYB wewe unatoaga hangover na nini?Tunapeana mbinu za kuondoa hangover baada ya kujipigilia nyagi na ma K-Vant. Azania imeingia kiana japo ufanyakazi wake katika kuondoa hangover bado haueleweki vizuri na unahitaji utafiti kidogo.