Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hey...
Inategemeana na vitu unapenda/tamani kufanya. So tuanzie hapo.....

Unatamani kufanya nini na nini ukienda??? Unataka ule utalii wa jumla (kutembezwa sehemu zote popular Zanzibar) au kuzurura tu mwenyewe/na company yako binafsi???

Kuhusu accomodation...za around 50k ni Guest Houses so nothing fancy! But some of them are decent/comfortable enough....
Morning mrembo, hope uko vizuri.
Ni moja ya family tour.
Ni kutembelea vivutio vya utalii na kufurahia madhali ya mji tu.
Kwa hotel ni sh ngapi boss wangu?
Thanks in advance
 
Dadaangu Saint Anne na mtani wangu Behaviourist tufanyeni ule upepo mchafu umepita ... Mada yetu hii ni nzuri na wengi tunakimbilia huku tukipata stress kule kwingine.... Nyie wote ni watu wema...! Natambua kutofautiana kupo hakukwepeki popote... Lakini sisi sote kwa utashi na hekima zetu tunaweza kutumia kupishana kwetu kama funzo na ukomavu wa kiakili kwa kumaliza tofauti zetu kiroho safi.... Selfika imetuunganisha basi naomba isitutenganishe... Asanteni sana na Mungu awabariki wote
Huwa nafurahia sana hekima yako bro,Mungu aendelee kukubariki.
 
20210916_103415.jpg
20210916_103341.jpg
20210916_103246.jpg


T274BEG 👊🏾👊🏾
20210916_103132.jpg
 
Back
Top Bottom