NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
We nijaze tu [emoji4][emoji4][emoji4]
Ukweli mtupu.
We nijaze tu [emoji4][emoji4][emoji4]
Mishkaki ya bata kabisa??😳😳😆😆😆Hpa unakula hadi mishkaki ya bata na maukali [emoji1787][emoji7]
I'm flattered 😊Ukweli mtupu.
Nitajaribu hii ingawa sio yote ninaweza kuyatekeleza
Daaah asante mkuu, kwa upande wangu kwa wiki naweza kunywa energy drink mara 5 aisee!Haishauriwi kiafya kutumia hivi vinywaji.
Madhara yake ni makubwa sana kuliko, kuliko faida ya muda mfupi, hasa ukiwa ni mtumiaji wa mara kwa mara.
Hakuna dawa ya kuchoka.
Bali unapaswa kutii (bila shuruti), pindi mwili na akili inapokupa vishiria vya kuwa kuchoka.
Je nini cha kufanya.
-KishaJipumzishe japo kwa dakika 30, kisha endelea na shughuli zako ukiwa na utimamu wa mwili na akili.
- Pata kikombe kimoja cha Maziwa fresh, ukiwa na kahawa itakuwa vyema zaidi.
- Usiweke sukari
View attachment 1931966
Mishkaki ya bata kabisa??[emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]
Itabidi hiyo uje kuninunulia weye maana sijawahi kuiona wala kuisikia isipokuwa kwako [emoji846]
wangu kwa wiki naweza kunywa energy drink mara 5 aisee!
😁😁😁Forodhani hapo hapo ipo unapata, mafirigisi, kuku, bata yote ipo [emoji1787].
Mi nakumbuka niliambiwa ngoja nikuletee na maukali [emoji1787] ndio viungo nadhani kama huku kachumbari, ukwaju etc .
Mkuu kama napajua hapa#Mrefu the artist [emoji817]View attachment 1934251
Good morning
[emoji23][emoji23][emoji8][emoji23]sijui kwa nini nimecheka hivi!!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Wako vizuri sana kwenye maakuli hawa jamaa kwakweli!![emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Hmmmm...I'm curious [emoji57] but not enough to try aisre. Alafu jana niliona ya sungura [emoji3061][emoji3061][emoji3061]