Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama kawaida unasubiri mpaka nifike mbali ndo unanipa ramani [emoji849][emoji16][emoji16]

Ila nimependa hiyo sehemu ya dogo. Inabidi unipe maelezo vizuri na mimi niwe namleta dogo sometimes. [emoji846]

Duh, tumepisha tena , siku nyingine basi.

Kuhusu Dogo, Hapa panamfaa, Anaweza kuja kusherehekea siku yake hapa, anaweza kuogelea, anaweza pia kucheza kwenye playground.

Kwa michezo ya kufundishwa kuna Football , Karate, swimming etc.

Football session ni 60K per Month ( four sessions each One Hour) so Kila jumamosi lisaa limoja anafundishwa na Coach mzuri.
Fuatilia account yao ya Insta kujua zaidi.

77d58861-fa52-4c5f-9dcd-8a375b030c9c.jpg
 
Duh, tumepisha tena , siku nyingine basi.

Kuhusu Dogo, Hapa panamfaa, Anaweza kuja kusherehekea siku yake hapa, anaweza kuogelea, anaweza pia kucheza kwenye playground.

Kwa michezo ya kufundishwa kuna Football , Karate, swimming etc.

Football session ni 60K per Month ( four sessions each One Hour) so Kila jumamosi lisaa limoja anafundishwa na Coach mzuri.
Fuatilia account yao ya Insta kujua zaidi.

View attachment 1933758
Ahhhh nshasusa 😔😔😔

Wow!!!Thanks for the info 🙂🙏🏾
Very reasonable aiseee. Ngoja nijitahidi nimlete. Ata-enjoy sana!!!!!!!
 
Back
Top Bottom