100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,788
- 30,948
Haka ka utaratibu kufurahia break wakati wa primary school umekuja mpaka ukubwani, ikifika friday unakuwa na furaha sana... nafikiri wengi wanafanya kazi ambazo zilikuwa si ndoto zao... ni ile kufanya mkono uende kinywani hasa kazi za maofisi zinachosha sana...
kuna jarida fulani USA waliweka takwimu kwamba siku za kuamkia monday watu wengi huwa wana stress, wengine hata kupata shinikizo la damu n.k... mawazo ya kazi...
nafikiri kazi zina mchango mkubwa kwenye afya ya mtu idhoofu au iimarike...

Next Time Insha Allah

