herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,982
- 3,248
Nasubiria location hapa
Ila juice bar itapendeza zaidi![]()
Kenyatta/ Toure near the light House. Ntakua hapa kwa zaidi ya lisaa nasubiria kakijana kanapiga Ball hapa. Kama upo karibu njoo kula mbavu.
.Huu ni uzi wa kusafisha macho hakiamungu, sio kwa pisi kali hizi

Mi ndio maaana lazima nipite huku kila siku kuosha macho.Dah! Kumbe ngoja na mim niweke kambiMi ndio maaana lazima nipite huku kila siku kuosha macho.
Na mimi nikiwa mkubwa nataka nifaidi kama waoHao wakubwa ndio kina nani????🙄🙄
Wewe ndio umegoma kutupia pic yako sio!Deal.
Lakini uanze wewe 😂
Yani if I could be a man

Kama kawaida unasubiri mpaka nifike mbali ndo unanipa ramani 🙄😁😁Location kama ya siku zoteKenyatta/ Toure near the light House. Ntakua hapa kwa zaidi ya lisaa nasubiria kakijana kanapiga Ball hapa. Kama upo karibu njoo kula mbavu.
View attachment 1933537
View attachment 1933538
View attachment 1933539
☺☺ japo hamna cha pisi kali wala nini 😏Finally we can see the Lips. Mpaka hapo tumeconclude ni pisi kali sana.
☺☺☺😘😘Yani if I could be a man![]()
Njoo uninunulie shawarma hapa Foro![]()


Jamani naombeni jina zuri la kikristo kwa baby boy
TravisJamani naombeni jina zuri la kikristo kwa baby boy