Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,256
- 3,539
Zitakimbilia huko chini.... Nagojela unitange
Zitakimbilia huko chini.... Nagojela unitange
Tenzi? No ngapi?Hakuna rafiki Kama Yesu
Hakuna hakuna
Hakuna na tabibu mwingine
Yu pekee yu pekee
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuokoa
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee Yu pekee.
Yeye hawezi kutusahau
Hawezi hawezi
Hata gizani anatulinda
Hakika hakika
Yesu anafahamu yote
Anatuongoza sisi
Hakuna rafiki Kama Yesu
Hakuna hakuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ayubu 42:10
Kisha BWANA akaugeuza uteka wa Ayubu, hapo alipowaombea rafiki zake; BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.
Mungu akageuze uteka wako, akurejeshee maradufu katika yale adui aliyoharibu na kuiba
Msaada tutani, December ikimpendeza Mungu nakuja huko,naomba kujua maeneo yenye hotel za gharama nafuu isiyozidi 50 kwa siku na maeneo gani mazuri kutembelea,na vp kuhusu usafiri wa kunifikusha niendapo?!

Kwa mwenyeji yeyote wa zenji msaada
Tumwimbie Bwana.Tenzi? No ngapi?
Hiyo sehemu imenikumbusha jambo. Imenifanya nijicheke na kujisikitikia mwenyewe.Tobo la pili,UngujaView attachment 1928946
Tushirikishe nasi tupate kufurahi na kusikitika pamoja nawe.Hiyo sehemu imenikumbusha jambo. Imenifanya nijicheke na kujisikitikia mwenyewe.
Ila ashukuriwe Mungu aliyetupa kusamehe na kusahau.
Ngoja niende adobe nikatoe hilo ua.
Michrnzani hii ..jumba la tano tobo LA PiliTobo la pili,UngujaView attachment 1928946
Nakuja kuuliza hilo JamboHiyo sehemu imenikumbusha jambo. Imenifanya nijicheke na kujisikitikia mwenyewe.
Ila ashukuriwe Mungu aliyetupa kusamehe na kusahau.