Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Oh hapana[emoji4][emoji4][emoji4]
Hii ni jumpsuit mama....utavaa???[emoji6]
Nataka lile la mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh hapana[emoji4][emoji4][emoji4]
Hii ni jumpsuit mama....utavaa???[emoji6]
Sijui nije[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
katumia fursa. vby kazi chini ya kiwangoNi nan aliyepewa hii tenda ya kufanya picha yenye kiwango kibovu namna hii?
Kayumba sanaNi kama picha ya kubandika
Hizi dili wanapeana kwa kujuanakatumia fursa. vby kazi chini ya kiwango
Kuna haja ya kupenya watujue aseeHizi dili wanapeana kwa kujuana
Yeah!! Mtoto mimi hapa 🙈🙈🙈Hiki chakula cha mtoto?
We njoo ULE!!! Dada hajapika kichoyo 🙂🙂
Sawa[emoji23]We njoo ULE!!! Dada hajapika kichoyo [emoji846][emoji846]
Ndio Boss.Pu tong hwa!