Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210827_100644.jpg
20210827_100726.jpg
 
Suala la kusukana na mimi tulishaachana kitamboooo. Siwezi kusuka yani hata nikisuka minyoosho kichwa kitaniuma jamani. Wig zinanisave sana. Na nina kipilipili kibaya balaa
Sasa wewe si ushazoea joto[emoji16]
Mimi wa mkoani[emoji38].

Hata nikijisuka mwenyewe mabutu ,kesho naamka kichwa kinawasha.
Mafuta huwa napaka yoyote .
 
Suala la kusukana na mimi tulishaachana kitamboooo. Siwezi kusuka yani hata nikisuka minyoosho kichwa kitaniuma jamani. Wig zinanisave sana. Na nina kipilipili kibaya balaa
[emoji38]
Nywele za kipilipili zikishakuwa ndefu zinakuwa nzuri tu.

Ila kichwa kuuma hilo ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom