The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,453
- 46,525
Aiseee![emoji134]
Yaani kuna watu wanaenda Bar za kuelea kwenye maji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na gharika,hawakukaa mule safinani kwa kupenda.Kama enzi za Nuhu na Safina...
Hebu tuma na yako Sasa.Wanasheria nguli wamekwisha wasili airport kutoka Guinea kwa Lt. Colonel Mamadou Doumbouya tayari kuhakikisha mteja wao Behaviourist anashinda kesi dhidi ya jf baada ya kula ban...
View attachment 1927705
Hebu mshawishi na Heaven Sent we mtakatifu
Nmekwisha tuma... labda kama nitume tena but what will u give in return?
Achana na Anne[emoji23]
Nilikuomba nyingine mkuu.Nmekwisha tuma... labda kama nitume tena but what will u give in return?
Kwani nasema uongo?[emoji38]Kweli wewe ni wa kunijungua?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Kwani nasema uongo?[emoji38]
Ushasema unaenda sambamba na masihi,yaani mko parallel...akirudi tu unatuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waendelee kumtazamia Bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanisingizia, sijawahi kusema hivyo jamani[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Tuma selfie yako mwaya swetieSwt Valentina[emoji8][emoji8]
Nkienda hapo kunywa navaa na na lifebuoy kabisa, inabidi mwenye bar aweke na lifebuoy mlangoni, wanywa pombe akili zao wanazijua wenyewe...
Unapoteza muda bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuma selfie yako mwaya swetie
[emoji22]eti Heaven Sent la kweli hili?Unapoteza muda bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo haweki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachilia mbali nitakayoituma hapa, wewe nitakutumia maselfie kibao kwa piiem[emoji2][emoji2]Tunasubiri selfie yako nawe
Bado anatibu maumivu ya ban[emoji23]Wanasheria nguli wamekwisha wasili airport kutoka Guinea kwa Lt. Colonel Mamadou Doumbouya tayari kuhakikisha mteja wao Behaviourist anashinda kesi dhidi ya jf baada ya kula ban...
View attachment 1927705