Leo niko off 😉😁😁😁
Am waitingUkiachilia mbali nitakayoituma hapa, wewe nitakutumia maselfie kibao kwa piiem![]()

Nipo njiani naelekea studio...Nilikuomba nyingine mkuu.
Unataka malipo?
Tuma,najua nitakachokulipa..ila am sure utafurahi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywaji wapi?#barabarañi View attachment 1927763
Mkuu nimependa hii mandhari, hii bar inapatikana wapi mkuu, direction pls!!! kama ipo Tanzania...

Ngoja waendelee kumtazamia Bwana
Mimi ntakufwata tu kwako nikuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiondoke hapaTuma selfie yako mwaya swetie
Sio kwelieti Heaven Sent la kweli hili?
Nipo njiani naelekea studio...
Make sure unatimiza ahadi.. nimeoga na nimejipaka mafuta...
hizi juhudi zote unipe hio zawadi...


Haya tumana tumuaibishe huyu mtakatifuSio kweli

Wikiendi nakujaWewe njoo tu nyumbani kabisa, uniangalie hadi sura uikremu![]()
Karibu sana