Selfika na JF: Snap it. Show it

Rafiki naomba usiendeleze hii mada pliz.
Wameshatoa nyongo zao wamemaliza maisha yamesonga.
Kuandika tena hapa mnaweza mkaishia huko unapopasemea na haitakua poa.
Mshinde shetani
 
Kabisa my dear siyo sifa, halafu hata mimi nikibishana na wanaume wakiishiwa hoja huwa wanaishia kusema "mwanamke hautakiwi kuwa mbishi hivyo" huwa najitahidi kuacha ila nashindwa kwa kweli.

Siwezi kuvumilia mtu ananiambia eti hii ni juisi wakati mimi naona kabisa hii ni pombe (huo ni mfano tu) halafu nikae kimya sasa ndicho wanaume wengi hata wa humu wanachotaka hicho wanataka tukubali kila wanachotuambia eti kwa sababu tu wao ni wanaume na sisi ni wanawake

Kwenye siasa siku hizi nimeacha ndiyo maana hata JF huwa siingii kwenye jukwaa la siasa mimi siasa ilikuwa mwaka juzi hadi mwaka jana instagram kwenye account ya Mange Kimambi kipindi kile na yeye yuko moto na nilikuwa natumia account yangu halisi yaani nilikuwa naona siku yangu haijakamilika bila kuingia instagram kutembelea account yake

Nilikuwa nachambana na watu kwenye comments kama ninavyochambana na watu humu alafu sasa nikapataga boyfriend ambaye tunatofautiana itikadi za kisiasa naye akileta za kuleta kuhusu siasa nilikuwa namchamba hadi ananiambia eti Mange Kimambi kaniharibu niache kumfuatilia nikasema siachi ng'oo ila nashangaa siku hizi hata mtu amsifie au amponde kiongozi gani wala hata sihangaiki siku hizi niko na haya mafurushi ya JF humu yaani nimekuja kugundua haya mambo ni ya muda tu yanakuja yanaisha kuna muda utafika humu nitakuwa nakuja kucomment kama Smart911 halafu natoka, oohh I just can't wait.
 
Mwanaume ni wewe ambaye unachoweza ni kuwafuata watu mat.koni kama ushuzi ili kupata umbea.
Unathubutuje kumkashifu mtoto wewe? Umelaaniwa kabla haujazaliwa ndio maana una vinasaba vyote vya ugay.
Fanya mambo ya msingi acha habari za kutukana watoto.
Enheeee umemaliza?
 

Hii comment imenoga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…