Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Njoo nishafikaNakujoin fasta kipenzi
Njoo nishafikaNakujoin fasta kipenzi
HahahahaEwaaaaa😘😘
HahahaHahahaha
🤣🤣🤣Njoo nishafika
Hata mimi kwa kweli ningekua na uwezo ningechora tattooNapenda sana wino wowote ule mwilini.
Aise....Mkuu nitaweka kazi yake kule MMU halafu nitakutag ,tena ziko mbili na ya kidole kidogo
View attachment 1924382
![]()
Uwezo kivipiHata mimi kwa kweli ningekua na uwezo ningechora tattoo
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Sidanganyiki we mtakatifuUsiandikie mate,
Hebu pita pita kwenye huu uzi utaona pics zangu nyingi tu.
Hebu weka yako tukuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK .tattoo ilinishinda ingawa Boaz alikua mwana na washikaji kibao wamechoraa
🤣🤣🤣Kamati ya Behaviourist tayari imewasili kwa ajili ya ukaguzi wa picha feki...
View attachment 1924626
Nikiangalia midomo yako naweza guess tabia yako hata moja... by the way una midomo mizuri...View attachment 1924068
Gudinaiti y’all
Kamati haitotuangusha....🤣🤣🤣
Muulize yeyote humu kuhusu picha zanguSidanganyiki we mtakatifu

Mwenye duffle bag namjua. Bishoo mmoja hivi anaitwa Holy Man enzi anakuja town.Kamati ya Behaviourist tayari imewasili kwa ajili ya ukaguzi wa picha feki...
View attachment 1924626
Picha zako au za sahani ya misosi?Muulize yeyote humu kuhusu picha zangu
Watakupa majibu...
Zipo zimejaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamati ya Behaviourist tayari imewasili kwa ajili ya ukaguzi wa picha feki...
View attachment 1924626




Huyu jamaa kajichanganya.. Unaanzisha shamba la karanga jirani na shule ya msingi..