Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Mbona mimi nina makovu na ninajipost.Una makovu
Juzi Kati nimepost mguu wangu na una bonge la kovu.
Jikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi nina makovu na ninajipost.Una makovu
[emoji23]chakula kingi sana.Kama kawa.. Ila watu mna masihara.. Eti ndio umekula hapo..
Nilizoezwa na nimejizoeshaSasa jimix kitumoto hapo uone kazi yake .kitimoto rost ndo utajua huwa wanakula au la
Rudia mi sijaona [emoji4]Nina utitiri wa picha humu.
Yaani hadi nimeanza kuweka vyakula,jua nilishamaliza kupost gallery yangu yote humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweee[emoji23][emoji23][emoji23]Rudia mi sijaona [emoji4]
Aweke aliyopiga Leo kanisaniRudia mi sijaona [emoji4]
Leo hujawekaMweee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani zipo nyingi
Huu uzi karibia kila page kuna picha zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo guu la Nani[emoji15][emoji15][emoji15]
Weka tu hatutokuchunguza sanaDuh umechunguza hadi kucha .halafu mm ndo nieeke pic kwa style hii
Punguza wenge mtakatifu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikirudi naomba niikute picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeka basi
Location ?
Kumbe!Eeka basi
Ujue huu Uzi .wee na wenzako mnaunogesha kwa picha .kisha wakaka wanajazia..sisi watazamaji tunaburudika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo naamka
Pombe sinywi tena
Nilikuwa dance club Mwenge
Hahaha ungenishtua nilikua pale opp na helsb .kanywe supuNdo naamka
Pombe sinywi tena
Nilikuwa dance club Mwenge