Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Amini nakuambia picha zangu zipo nyingi humu..tena nyingine full kabisa...Picha zako au za sahani ya misosi?
Usijefanya kijana akaanza zunguka page zote 5314 kutafuta picha.
Tafuteni mtaziona.
Hizi za misosi nimeanza kupost hivi karibuni maana picha zangu zote nishamaliza kuzipost humu.
Mkuu tangu jana nasubiri picha yako hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app




