100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,788
- 30,948
Duh!! hio ngumu... weulishaweka sura?
Duh!! hio ngumu... weulishaweka sura?
😳😳😳 naona umeamua kunipeperushia njiwaaaHahaha Holy Man mkulima wa mbalali ukonunategemea anajua nini? Achana nae.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😳😳😳 naona umeamua kunipeperushia njiwaaa
Watu wa dar mnashida sanaaa 🤓🤓🤓Mwenye duffle bag namjua. Bishoo mmoja hivi anaitwa Holy Man enzi anakuja town.
Kamati imepitisha....Leo church hiyo.Linapokuja suala la church huwa sina mzaha kabisa!😁😁😁View attachment 1924711
Wewe na Holy Man hamjawahi kuselfika hapa
Selfika basi tuwaone jamani,acheni kutubania.
Sent using Jamii Forums mobile app
🧚♀️🧚♀️🧚♀️😘😘Home chilling sunday....
View attachment 1924673
Naweka kambi hapa inawezekana sijifahamuTiririka utusaidie
We ni mpole na si muongeaji sana...Tirirrika chief
Ndiyo mkuu.Duh!! hio ngumu... weulishaweka sura?
Sahani yenye mpangilio... nice mkuu!!!
😘😘😘🧚♀️🧚♀️🧚♀️😘😘
Mimi sio mpole na sifikirii kuwa mpole ila huwa ninakuwaga mkimya midomo yangu ikiwa haijisikii kuongea😁😁We ni mpole na si muongeaji sana...
Ukipenda mtu kimahusiano, unazimika ki sawasawa... unaingia mzima mzima....
Unapenda kula...
Prove me wrong...
Unapenda kupetiwa na kubembelezwa...
Yaani midomo yako inaongea mengi.... naweza endelea? before sijaendelea nikosoe...
Au hio midomo si yako nini?Mimi sio mpole na sifikirii kuwa mpole ila huwa ninakuwaga mkimya midomo yangu ikiwa haijisikii kuongea😁😁
Vingine yes kuna ukweli kiaina😊