Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Nac
Nachowapendea watu wa Uzi huu ukiomba pic fasta inaletwa
Nachowapendea watu wa Uzi huu ukiomba pic fasta inaletwa
Mkuu hiyo kucha ina kazi yake maalum !Mkuu hiyo kucha moja uliyofuga una kazi gani nayo?
Asantee sana mama ,kidogo kidogo tunajitahidi 😊😊 si unajua tena umaridadi huficha umaskini🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Umependeza ChickMagnet baba😘😘...asanteeee💃💃💃
Mimi na picha wapi na wapi .mm mpiga debe tu muweke nyie
Tujuze mkuuMkuu hiyo kucha ina kazi yake maalum !
Ulivo muongo mtakatifu weweMweee
Yaani zipo nyingi
Huu uzi karibia kila page kuna picha zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
SwadaktaAweke aliyopiga Leo kanisani
Hahaha ungenishtua nilikua pale opp na helsb .kanywe supu
We ukituma yesu anarudiUlivo muongo mtakatifu wewe
Mi ukituma ndo namie natuma yangu
Ngoja mtakatifu atume uone kama sintatumaWe ukituma yesu anarudi

Mimi ndiioHahahaaa wewe huyo?
Sina hata nguvu ya kunyanyuk hapa nimeagiza nyama
Usiandikie mate,Ulivo muongo mtakatifu wewe
Mi ukituma ndo namie natuma yangu
Mkuu nitaweka kazi yake kule MMU halafu nitakutag ,tena ziko mbili na ya kidole kidogoTujuze mkuu
Mkuu nitaweka kazi yake kule MMU halafu nitakutag ,tena ziko mbili na ya kidole kidogo
View attachment 1924382😀😀
Weka tu hatutokuchunguza sana
Kabisa baba📌Asantee sana mama ,kidogo kidogo tunajitahidi 😊😊 si unajua tena umaridadi huficha umaskini
Ewaaaaa😘😘Sina pic ktk social media yoyote .na siwezi weka pic humu wala pm ..hapa story tu kipenzi
Nakujoin fasta kipenziLocation : kwa mama vanne
Place : kino
Order ; kitumoto