Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
😀😀watupie watupie...Story na picha Leo week end mtupie kwa wingi
😀😀watupie watupie...Story na picha Leo week end mtupie kwa wingi
usiku mwema😎kwako
😀😀watupie watupie...
Ahsante, Usiku mwema pia Mgirikiusiku mwema😎kwako
nikajua umelala tiali Nikaona sifa zako nizimeze tuu...Ahsante, Usiku mwema pia Mgiriki
Unalala mremboAhsante, Usiku mwema pia Mgiriki
Sifa gani tena! Sijalala bado mkuu😂nikajua umelala tiali Nikaona sifa zako nizimeze tuu...
Ahsante sanaaa....
Leta story mrembo naona jeans imekaa pahala pakeSifa gani tena! Sijalala bado mkuu😂
Hapana bado bado kidogo😜 vipi wewe?Unalala mrembo
Aah kawaida tu mkuu🤔Leta story mrembo naona jeans imekaa pahala pake
Bado sana nipe kampaniHapana bado bado kidogo😜 vipi wewe?
Imependeza sanaAah kawaida tu mkuu🤔
Aah ni zile zile tunazosema wanaume kila siku Yamkini Kuna baadhi yetu wanazipangilia vizuri mpaka zinaleta uhalisia..Sifa gani tena! Sijalala bado mkuu😂
Dah wacha niseme tu thank you mkuu Mgiriki og🤪Aah ni zile zile tunazosema wanaume kila siku Yamkini Kuna baadhi yetu wanazipangilia vizuri mpaka zinaleta uhalisia..
kwakua sio dhambi kuzisikia wacha niseme Umebarikiwa kwa nilichokiona bado vingine😁
Hahahaha jeans umeona ilivyokaaAah ni zile zile tunazosema wanaume kila siku Yamkini Kuna baadhi yetu wanazipangilia vizuri mpaka zinaleta uhalisia..
kwakua sio dhambi kuzisikia wacha niseme Umebarikiwa kwa nilichokiona bado vingine😁
Leta story mrembo naona jeans imekaa pahala pake
Thank you! Hivi ushawahi kutupia kapicha humu japo kucha tu tuone🤔Imependeza sana
Halafu hy siio vunja bei ujue kitu Woolworth hyivi hana kiwanda cha jeans kwel maana sio kwa kumkaa huko😊dizain kama aliifata kiwandani yani😂
Dah acha basi mkuu😂😂 sina kiwanda chochote kabisa😀ivi hana kiwanda cha jeans kwel maana sio kwa kumkaa huko😊dizain kama aliifata kiwandani yani😂