Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Leo Nikiwa kwenye gari asbh nimesikiliza ripoti ya polisi kuhusu Hamza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimecheka Sana,ila polisi wa Tz Mungu anawaona[emoji1787]
Wamesema eti alikuwa na viashiria vya ugaidi[emoji38][emoji38], na kuhusu hiyo migodi ya chunya eti hana mgodi wowote wala si kweli kuwa alitaka kudhulumiwa madini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app