Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
At least hapa tunakubaliana[emoji4]Na mimi nashauri hivyo..yaani ao ngeze kidogo tu..
At least hapa tunakubaliana[emoji4]Na mimi nashauri hivyo..yaani ao ngeze kidogo tu..
Mvivu wapiiii 🙄🙄🙄Wewe ni mvivu wa kula eh?
Naona misosi yako unapakua kiduchu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mvivu wa kula eh?
Naona misosi yako unapakua kiduchu
Alafu nije nikose mchumba wa maana 🥴🥴Mnataka mwenzenu aote kitambi cha kufunika hadi naniliiii??
Jesus[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Nakuja hapohapo kukuombea[emoji23][emoji23]View attachment 1922803
Kama kuna mchungaji namuomba inbox
🤣🤣🤣🤣🤣 sitaki kuamini!!! Embu niaminishe 😌Wakati hichi mi Ndo naonja jikoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sitaki kuamini!!! Embu niaminishe [emoji18]
Jesus[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Nilijua tu kuacha huwezi,ulikuwa umepumzika[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1922849
Shetani ako na nguvu sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pombe haiachiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini hiki?
share location. utamu wa motoni tuwe wengi.Mitungi .sheesha .skanka .NO PIC ki house party fulan hv amazing ndani ya xxxxx massage & spa msasani hatari sana hii