Selfika na JF: Snap it. Show it

Si umnyamazie tu na wewe? Msamaha umeomba bado hataki kimya nalo ni jibu eti
 
Tena mi sijui kuchamba mi natukana ila siku hizi nimepunguza ila kuna kambinu kapya nimekaanzisha mtu anajaa weeeee halafu analipuka mwenyewe nakaa kando naburudika
Unajaza watu upepo au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nahisi haujanizidi kwa kuwa short tempered mama halafu bora hata uwe unabishana na mtu mwenye hoja sasa mtanange unanoga usiombe unabishana na jitu halina hoja yaani unakosa hata nguvu za kuendelea, hayo alijisemeaga Mange Kimambi my role model kwenye kuchamba na kushusha magazeti.
 
Unajua huyo anayejadiliwa mambo yalianzaje mpk ikawa hivyo?!
Kama wewe upo jf kutafuta manzi usihisi wote tuna lengo hilo Hilo
Nafuatilia kuanzia mwanzo, na mwenye uzi alishaasa yakaisha ila bado yanaendelea na Mshana Jr kaacha mtu ajadiliwe bila yeye kuwepo kujitetea, akiguswa mwingine mmmh anyway ngoja niwe mtazamaji
 
Sawa, amani itawale kikubwa ukweli nimeshakufikishia,kilichobaki ni juu yako kumeza au kutema.
 
Ila nachokupendea dada mkubwa Ni kitu kimoja tu,huwa hutukani[emoji8][emoji8]

Jana pale juu sijui lile tusi lilikutokea wapi bado natafakari.
 
Wacha we!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…