Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena mi sijui kuchamba mi natukana ila siku hizi nimepunguza ila kuna kambinu kapya nimekaanzisha mtu anajaa weeeee halafu analipuka mwenyewe nakaa kando naburudika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini eti jamani?? Wakati mimi ndiyo naona sikufikii wewe kwa vichambo!! Vile vichambo mlivyompa yule kaka ningepewa mimi ningetoka JF milele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ufie nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aahh kabisa bora ioze tu
 
Tatizo lako unanijua sana ndo shida.
Nina kijana sio binti.
Nitabadilika niache kutapeli watu

Tuwe na amani sasa
Sasa wakitajwa vijana wa kiume ,naye yule atatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mungu nisaidie nisiandike zaidi mwishoni nikapata dhambi bure.
 
Woyooo[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kesho ukisahau nitakukumbusha
 
Unaona sasa. Yani nimejishusha bado unataka league. We mtu gani unapenda vita? Sio kila vita ya kupigana mkuu. Mi nimechagua amani kwenye hii vita yako unayoniletea.
Nimekwambia yaishe ila bado unanikalia kooni.

Au kuna kitu nimekukosea nikuombe msamaha?
Sipendi makwazo yasiyo na maana hasa kwa mtu asienifahamu.
Sasa wakitajwa vijana wa kiume ,naye yule atatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mungu nisaidie nisiandike zaidi mwishoni nikapata dhambi bure.
 
Hatari Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…