Wewe mwanaume mwenye tabia za kike narudia tena UNIKOME. Sikujui hunijui unaanzaje kuniongelea ufala?
Kwanza sipendagi mazoea na mashoga tuheshimiane tafadhali.
Tapeli nilikutapeli wewe? Kwanza hela huna nakutapeli mambupu au? NIKOME
Tatizo lako wewe ukiambiwa ukweli unajifanya kuwehuka.Ndo nikuulize wewe. Ni nini unachohangaika na mimi? Sina chochote ila kutwa kunikalia kooni kama tunashea bwana inahusu?
Embu fanya mambo yako acha kufuatilia wasiokuhusu.
jina lake linaanzia na herufi gani?? 🙉🙉😆😆😆mimi burudani tuu... HUU uzi binafsi na kipekee umenifaa sana... Nimepata rafiki tuka chillmno last weekend... Tunaye hapa ila kakausha kabisa... Nami nimeheshimu msimamo wake huo... Kesho tunaweza kufanya featuring....... Wanaobeza acha tu wabeze
Naukumbuka
Sema astaghfirullah yaani mimi niolewe na Zurriover my dead body
Huyu Hana ligi ila vichambo vyake sio vya nchi hii.
Halafu huwa haongei Sana ...
kapeace ni habari nyingine
Bob unabishanaje na mtoto wa kike aisee?!Tatizo lako wewe ukiambiwa ukweli unajifanya kuwehuka.
Mimi sina tatizo na wewe kabisa,ila ninachojaribu kukwambia badilika oooh, utajiskiaje yule binti yako akianza kuiga tabia zako?
Lete hela nikutumie ninayoDah huu uzi umenivimbisha macho. Kuna picha ya mpendwa mmoja huku (mdada) natafuta kweli. Maana Naangalia post zake kwa hii thread ni kama ameshaitupia hapa... Ila Sasa nimeshapekenyeua uzi huu balaa ila sijaiona hadi Sasa!
Fanya hata kuiniletea kwa Majaliwa bhas! Angalau nichaji mboni za macho haya siku iende Sawa.
Anaruka ruka kama bisiNaona kajua mkewe wa tatu akituma hatasifiwa
Unipe kiki kwa lipi haswa? Au kwa hiyo miguu yako iliyokaa kushoto tupu?Anataka kik na hatutoi kik. Akafungue uzi wake aandike shudu zake huku tuko kwenye amani
Unanidai?Bob unabishanaje na mtoto wa kike aisee?!
Hauna lingine la kufanya?!?
Hakuna barabara inakosa vilima na mabonde
Aisee.Na dawa ya kutotoa kiki ni kumkalia kimya,usimjibu
Tatizo lako wewe ukiambiwa ukweli unajifanya kuwehuka.
Mimi sina tatizo na wewe kabisa,ila ninachojaribu kukwambia badilika oooh, utajiskiaje yule binti yako akianza kuiga tabia zako?
We unanijua sasa siwezagi kuandika gazeti nikichoka sana kama hilo dude hapo na mzigua ....natukanaga
eeh hii ndo weakness yangu short temper nikaona wengi ndo wanapolalia na wakawa wananionea kweli nalambwa ban wakati uchokozi wanaanza wao,, sasa gia ya saiv ni nzito mtu namchokoza mpaka alipuke halafu nakaa kando namchora kwa raha zote @Karma