elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,473
Champion wa uzi
Ndiyo tushaona huna ring hahahahaa
Searching out [emoji2957][emoji2957]
My favourite time of the day 🙂
112....nipo night shift 😉😉Lizzy naomba namba yako [emoji41]🫂.
Mwenyewe umesema joto linakuja alafu unanishawishi nisinyoe kweli 😓😓😁😁😁 Ngoja tuone Sept itaanzaje 😉[emoji134]Usinyoe
Mimi natamani kusuka ila basi tu kichwa kuwasha...na nasikia huu mkoa wenu mwezi ujao joto linakuja,, najiona kabisa siwezi kusuka[emoji23]
Pete zipo ila nimehamishia miguuni 😎😁Champion wa uzi
Ndiyo tushaona huna ring hahahahaa
Searching out [emoji2957][emoji2957]
112....nipo night shift [emoji6][emoji6]
Yoh...I'm for real. Piga uone kama sipokei 🙂Duh, Mpaka hapo ni NEGATIVE, Copy that [emoji41]
September na October daslam ni hoves kabisa 😂 ila hiyo miezi nikiwepo uwa nang'aa kinyama.[emoji134]Usinyoe
Mimi natamani kusuka ila basi tu kichwa kuwasha...na nasikia huu mkoa wenu mwezi ujao joto linakuja,, najiona kabisa siwezi kusuka[emoji23]
Duh kukaa sehemu yenye joto ni msala..nitakimbia.September na October daslam ni hoves kabisa [emoji23] ila hiyo miezi nikiwepo uwa nang'aa kinyama.
Miezi ya joto la kukaba, ni mwendo wa kushinda ununio tu.
Kusuka kipaji, kusuka kunahitaji commitment. Me naweza jaribu leo nikashinda kesho, keshokutwa niko kwa saloon za kiume [emoji23]
Sasa wewe si ushazoea joto[emoji16]Mwenyewe umesema joto linakuja alafu unanishawishi nisinyoe kweli [emoji29][emoji29][emoji16][emoji16][emoji16] Ngoja tuone Sept itaanzaje [emoji6]
Inawezekana wanaokusuka huwa wanakuvuta sana...na kama ngozi ni kavu basi lazima ukereke [emoji3061][emoji3061] Ushajaribu mafuta yanayosaidia kupunguza muwasho?? Anti dandruff??
Pete zipo ila nimehamishia miguuni [emoji41][emoji16]
.....baada ya kupoteza hii [emoji1484][emoji1484]View attachment 1910113
Wajanja hawajijui....wanajulikana 😏😏Unatutumia subliminals, wajanja tushajua anyway.
Looks like sunset#Sunrise [emoji559]View attachment 1910682