T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,091
- 30,493
Haha...Unaijuaje mkuu?Hii kichwa mbona kama naijua [emoji28][emoji28]
Haha...Unaijuaje mkuu?Hii kichwa mbona kama naijua [emoji28][emoji28]
Halafu ni kweli una kasura ka kitotoView attachment 1912073
Nibandikie hapo [emoji23] zimekuwa nzuri umezitibia na nini?
Me natamani nizikatie chini kabisa nitafute mafuta mazuri niwe napakaa ila sasa nikinyoa kiuanafunzi naonekana katoto [emoji23] na mawigi siyawezi.
Sikuona. Na kurudi kutafuta ni kipengele 😂
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sikuona. Na kurudi kutafuta ni kipengele [emoji23]
Weka tu hapa chap.
Sijui nimuite double R 😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ngoja nifike kwanza nitapiga picha,
Now nipo road,nimejilipua kwenda kariakoo[emoji23],ukiona kimya ujue nimeibiwa simu huko.View attachment 1912397
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee hebu vua mawani uangalie vizuri 😂Halafu ni kweli una kasura ka kitoto
Na ghorofa zote hizo bado unalia njaa 😂 si ukaombe hata kufagia tu jamani juma3/4 sio mbali 😂Leo jumamosi pia pametulia tuuu hatuna hata senti mfukoni [emoji3] hamna hata deal huko wakuu tupeane. Hata udalali tunauza hata ma Wig [emoji1787].
View attachment 1912652
Na ghorofa zote hizo bado unalia njaa [emoji23] si ukaombe hata kufagia tu jamani juma3/4 sio mbali [emoji23]
Hahaha kazana, watumiaji wapo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Nalia hapa kwa kuwa niliona Demand eneo huko juu , Nataka kusupply wigs [emoji1787], kwa wenye vipilipili vyao.
Hahaha kazana, watumiaji wapo.
Tayari kwa mtoko wa usiku wa weekend[emoji108][emoji108][emoji108]
View attachment 1912877
Dah[emoji23] jana RRONDO alinifanya nijione mzembe Sana hadi nikaamua kufanya maamuzi magumu[emoji38].Sijui nimuite double R [emoji23]
Leo utashaaa kwahiyo mizunguko utayozunguruka unless uwe unaenda sehemu unayoijua haswa. Simu shika mkononi [emoji23]
Ukishavaa hizo nguo upige pichaTayari kwa mtoko wa usiku wa weekend[emoji108][emoji108][emoji108]
View attachment 1912877