Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JPEG_20210828_085935_5281648407551139185.jpg


Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Njoo nikupe tu. Zangu hazikatiki ila hazikui halafu sio nyeusi. Siku hizi kidogo zimekua nzuri ila ndo nazificha kwenye mawig
Tubadilishane 🤪
Ni heri kipilipili kuliko nywele ambayo haieleweki nyepesi si nyepesi, ngumu si ngumu. 'Yangu hiyo sasa, inakera ukilalia uchogo inakatika hatari.
 
View attachment 1912073
Nibandikie hapo [emoji23] zimekuwa nzuri umezitibia na nini?

Me natamani nizikatie chini kabisa nitafute mafuta mazuri niwe napakaa ila sasa nikinyoa kiuanafunzi naonekana katoto [emoji23] na mawigi siyawezi.
Hizi nzuri sana.


Mimi nywele yangu ikishakua tu kuichana ni mtihani,inauma mno.

Kunyoa zote natisha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi nzuri sana.


Mimi nywele yangu ikishakua tu kuichana ni mtihani,inauma mno.

Kunyoa zote natisha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri mbele 😂 nyumaaa hiii kwanza hazilingani mikato nayonyoa inaniharibu mno.

Ukitoka kuoga unakausha chap unapakaa mafuta na kuchana hazitouma. Ila ukisubiri mpaka umalizane na mwili + mavazi utalia
 
Nzuri mbele [emoji23] nyumaaa hiii kwanza hazilingani mikato nayonyoa inaniharibu mno.

Ukitoka kuoga unakausha chap unapakaa mafuta na kuchana hazitouma. Ila ukisubiri mpaka umalizane na mwili + mavazi utalia
Nywele zangu huwa zinakata chanio sometimes [emoji23][emoji23][emoji23]


Tuone nyuma zilivyo[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom