Tatizo lako wewe ni mwingi wa habari,si unajijua lakini uncle?
Hii inaweza kuwa ni moja ya habari zako nyingi
Hapana ni wajibu wetu na ni katika jambo zuri lenye kupendeza.Ni sifa??
Bob yaishe acha Uzi uendelee unavyopaswa
Naona huyu Kaka anataka kumpa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada naona wabaya wanakutafutia ban kwa Hali na mali
Hahahaaa. Natamani saa zingine nisiwe mbishi ila nashindwa.
Juzi nimekaa na wababa wazee kabisa nilibishana nao hao. Nahisi walivyoondoka pale walinisema sio kwa ubishi wangu halafu nawapa na facts sio nabisha tu.
Siku nyingine nilishawahi kubishana na wengine kuhusu siasa yani bar nzima wakakaa wanatusikiliza
Tuache tabia ya ubishi sio nzuri
Achana nae usimjibu tena kama unaweza ignore kila utakachoona kaandika kuhusu wewe
Basi mpendwa muache tu...kama alivyosema joanah we muignore tu tuendelee burudika na uziHuyo sidhani kama ni ME. Me hawanaga tabia za kufuatilia maisha ya watu. Kwanza hata kama mlikwaruzana sehemu yakiisha yameisha. Sasa huyo hata sijui ni nini kinamuwashaga na mimi.
Na dawa ya kutotoa kiki ni kumkalia kimya,usimjibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi burudani tuu... HUU uzi binafsi na kipekee umenifaa sana... Nimepata rafiki tuka chill [emoji934] mno last weekend... Tunaye hapa ila kakausha kabisa... Nami nimeheshimu msimamo wake huo... Kesho tunaweza kufanya featuring... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji86][emoji123][emoji109][emoji817][emoji419][emoji625][emoji779].... Wanaobeza acha tu wabezeKaka wadogo zako watakiona Cha mtema kuni humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajitia kuwachokoza dada zao yaani huu uzi Hadi umeisha hakuna rangi mtaacha kuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7]
Best answer kwa mwanzo wa mwezi october!!!
Hata hili pia linanihusu ndio maana ninakula sahani moja na wewe.We inakuhusu nini? Mi dada ako? Mkeo? Nikiwa tapeli we unateseka na nini? Niache na utapeli wangu maana hata nikifungwa hutaleta chakula.
Fanya yanayokuhusu sio kufuatilia wengine
Real pics[emoji109]View attachment 1223331a.k.a mchafuzi wa mdomo na kidevu.
Hili ndo la maana...endelea na yako tuNimemtia kwenye ignore list siku nyingi sana.
Kwanza simjibu tena ngoja nikale zangu mie
Basi mpendwa muache tu...kama alivyosema joanah we muignore tu tuendelee burudika na uzi
Nimekupata bibieMuache ndo anajisikia vizuri mwenzio akiandika shudu zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi burudani tuu... HUU uzi binafsi na kipekee umenifaa sana... Nimepata rafiki tuka chill [emoji934] mno last weekend... Tunaye hapa ila kakausha kabisa... Nami nimeheshimu msimamo wake huo... Kesho tunaweza kufanya featuring... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji86][emoji123][emoji109][emoji817][emoji419][emoji625][emoji779].... Wanaobeza acha tu wabeze
Hizi mbwembwe zinatuhusu???
nadhani ungemwambilia pm tu
Woooi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Naona kajua mkewe wa tatu akituma hatasifiwa