[emoji28][emoji28][emoji28]Mwanangu flani hivi [emoji23] ila pic uliyoweka leo naconclude sio wewe. Yeye PC yake sio nyeusi.
Mimi zangu full nyingi tu humu.Uanze wewe [emoji6][emoji6]
There are no better days kwenye hii dunia, kuna wakati nadhani huzuni ni nyingi kuliko furaha humu duniani, vile tu tunasahau sana
Mnaokaa situ za mbele kwenye daladala mnaona mmeyapatia maisha sana[emoji23][emoji23][emoji23] kidding#daladalaniView attachment 1896619
Mhhh mbona mi sijawahi kuona? 🙄🙄Mimi zangu full nyingi tu humu.
Unakula kabamia[emoji16]
Mwee[emoji134]Mhhh mbona mi sijawahi kuona? [emoji849][emoji849]
[emoji38][emoji38]Snap it.Show it.
View attachment 1897759
Basi ukipata muda unitumie kamoja??Mwee[emoji134]
Wote humu ni mashahidi jinsi nilivyo na utitiri wa full picha humu.
Acha kudanganya dogoMwee[emoji134]
Wote humu ni mashahidi jinsi nilivyo na utitiri wa full picha humu.