Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Mwanangu flani hivi 😂 ila pic uliyoweka leo naconclude sio wewe. Yeye PC yake sio nyeusi.Nan tena
Mwanangu flani hivi 😂 ila pic uliyoweka leo naconclude sio wewe. Yeye PC yake sio nyeusi.Nan tena
Ile picha nifanyie wepesi utoe emoj
dada mzuri.Yupo vizuri.
Asante Sana kwa pichaMarahaba mtakatifu wangu.
Lile huu nitakutumia kwenye wasapu mtakatifu.
Huyo mchumba wako itabidi tuwe tunamfunga kengele haiwezekani apotee kiasi hicho woi
![]()

Mimi hakuna mtaa sijawahi kwenda.Hakika mkuu yani mpaka nataman
Kuona kizaz cha sasa kikarud tulikotoka
Watoto watakua kwenye malez mazur Sana
Nikikumbua hzo ngonjera na mapambio
Na mashair mpaka hua nataman
Turudishwe nyuma kidogo tulikotoka
Binafs hii ya jumapili nliifrahia Sana
Watoto kwenda kusoma
Mtaanzima mnajulikana yani.
Yale mazingira n mazuri SanaMimi hakuna mtaa sijawahi kwenda.
Nilianza kwenda shule ya jumapili Nikiwa mdogo sana na niliacha baada ya kumaliza STD 7 na kwenda sekondari.
Miaka takribani 10 naitumikia shule ya j2
Nilikuwa muanzishaji nyimbo,pia nilikuwa mpiga ngoma.
Tukienda huko tunafundishana nyimbo kibao...yaani mmarudi home mmechoka lakini mmefurahia.
Kuna namna mtoto anajengeka kwenye yale mazingira.
Wanangu wakifika miaka 3 tu naanza kuwapeleka.
Utadhani 😆😆😆 Daladala imechoka hiyo 🥴Unaenda Kimbiji?
Kuna nyama choma?View attachment 1896704
Machinjion serengeti
Kuna nyama choma?
Serengeti ipi LeeView attachment 1896704
Machinjion serengeti
Ya kuelekea usalama ,au polisi chang'ombe temekeSerengeti ipi Lee
Nikajua ni Serengeti yenyeweyenyewe nikujoin.maskin mimi lohYa kuelekea usalama ,au polisi chang'ombe temeke
KigamboniSerengeti ipi Lee
....Nikajua ni Serengeti yenyeweyenyewe nikujoin.maskin mimi loh
Nilivimiss hivi vinukta ujue.....
....okKipenzi bhana😁😁..si unaona Lee keshanijibu ni Serengeti ipi acha uchokozi basi😅😅
Nimekumiss kipenzi changu jue☺️☺️