Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,183
- 11,273
Hatari Sana hua sipati picha yule mwamba angakuepo kwa miaka 20 mbeleIla 2PAC ananyimbo nyingi sana yule jamaa.
Hatari Sana hua sipati picha yule mwamba angakuepo kwa miaka 20 mbeleIla 2PAC ananyimbo nyingi sana yule jamaa.
Hatari sana, sidhani kama kuna msanii wa Hiphop mwny nyimba nyingi kumzidi....alafu alikufa na 25yrs old.Hatari Sana hua sipati picha yule mwamba angakuepo kwa miaka 20 mbele
Leo unipe location aise[emoji39]
Karibu Robbin 🏚🙂Leo unipe location aise[emoji39]
Bila shaka ni upareni huku, hiyo milima 🤔 .This memory[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]View attachment 1896040
Kuna mtu umemfanania.[emoji2400]View attachment 1895881
Kipenzi changu Mtu chake...mambo baba..Mmh....
Nan tenaKuna mtu umemfanania.
Hahahaha list nimeionaKipenzi changu Mtu chake...mambo baba..
Kwani unaumwa na jino?
Subiri kdgHebu fanya majaribio tuone