Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,900
- 147,508
HiyoVizuri sana kama hujambo
Naendelea vizuri mkuu
Chati na picha[emoji3]
HiyoVizuri sana kama hujambo
Naendelea vizuri mkuu
Chati na picha[emoji3]
Hahaha kumbe kiarabu upo vizuriKhair Mubarak [emoji257]
Unapona kabisa chief Mungu mkubwa.Ni kwa neema tuView attachment 1890387
Ohhh yeah ....he is really dope!!!! J Hus vipi...unamuelewa???Naona Nines hapo I see you shining Lizzy#Crabs in a bucket.style yake very unique.
Amina chiefUnapona kabisa chief Mungu mkubwa.
Una bahati Ely 😇 👊🏾Ni kwa neema tuView attachment 1890387
Naibia kwa majirani zangu 😂Hahaha kumbe kiarabu upo vizuri
Hahaha kazana kazana uive kuna safari ya kwenda kwenye jangwa huko mbele.Naibia kwa majirani zangu [emoji23]
God has been so good to You 🥰Ni kwa neema tuView attachment 1890387
Kwa kweli nina bahati LizzyUna bahati Ely [emoji56] [emoji1477]
😃😃 we unakijua? Au unakazana kwenye safari ya Rome ( Vatikano.Hahaha kazana kazana uive kuna safari ya kwenda kwenye jangwa huko mbele.
Kwema Ely, Shikamoo.
AnkaliAnkaliiii!!!!
Namuona binamu,kaoga sembe[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi leo ngoja niposti mwanangu,kwa nini iwe ninyi tu kila siku.
View attachment 1890358