Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Na mimi leo ngoja niposti mwanangu,kwa nini iwe ninyi tu kila siku.
Na mimi leo ngoja niposti mwanangu,kwa nini iwe ninyi tu kila siku.
[emoji1787][emoji1787]Na mimi leo ngoja niposti mwanangu,kwa nini iwe ninyi tu kila siku.
View attachment 1890358
Yeah...mitaa ya mafisi hyo ( mafyati)Mbeya moja hii karibu na Carnival..kwenye mataa pale..
Inataka kufanana na kitu inaitwa mutura/ mtura. Au hiyo ni English yake? Maana 😂Ni Boerewors inaonekana kama nyoka kwenye picha.
Mkuu hii recipes yake ikoje?, haswa kwenye marinating kabla hujaoka.
Pia unaoka kwa muda gani?, unafunika na foil au bila foil wakati wa kuoka?
Diet mostly
mawardatIjumaa Mubarak[emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 1890520
Ijumaa Mubarak[emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 1890520
Hujambo mamyAbee
Vizuri sana kama hujamboMie sijambo
Unaendeleaje?
Hapana mutaraa ni ya pale kwa nyangau.Boere=Boers Wors=Farm kirefu chake ni boers farm sausages.Inataka kufanana na kitu inaitwa mutura/ mtura. Au hiyo ni English yake? Maana 😂
Toa hilo flower usoni tukuone umependeza sana.Ijumaa Mubarak[emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 1890520
Naona Nines hapo I see you shining Lizzy#Crabs in a bucket.style yake very unique.
Ankaliiii!!!!Na mimi leo ngoja niposti mwanangu,kwa nini iwe ninyi tu kila siku.
View attachment 1890358
SawaToa hilo flower usoni tukuone umependeza sana.