Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Karibu Mbeya mkuu.Ndagha..fijo..Mbeya pazuri..View attachment 1890156
Karibu uonje baridi.
Karibu Mbeya mkuu.Ndagha..fijo..Mbeya pazuri..View attachment 1890156
Hiyo pembeni ni kitu gani?
Naomba dictionary 🥺
🙈Are you married ?
Ohooo unaona aibu kusema. ila itakua bado Saa Saba hii usiku ukae macho !?
Haha nalea, mtoto kaamka kunyonya.Ohooo unaona aibu kusema. ila itakua bado Saa Saba hii usiku ukae macho !?
Sawa sawa hongera, Mtoto anaitwa nani ?Haha nalea, mtoto kaamka kunyonya.
Hujalala mpaka sasa unafanyaje?Sawa sawa hongera, Mtoto anaitwa nani ?
Kama ni wa kiume naomba nim'pachike hapo kwenye Sons's legacy awe miongoni. Kama wa kike, No
Sijalala mimi sina kifungo. i.e Nipo huruHujalala mpaka sasa unafanyaje?
Ni wa kike![]()



Ni Boerewors inaonekana kama nyoka kwenye picha.Hiyo pembeni ni kitu gani?
Duuh! Anaumwa? au ndio kumenteinHii picha imeniumizaView attachment 1890084
Dah siyo poa..nalala nimevaa sweta mbili na na jifunika blanketi zito sana..Karibu Mbeya mkuu.
Karibu uonje baridi.
Mbeya moja hii karibu na Carnival..kwenye mataa pale..Shida ipo hapa ng'amboView attachment 1890221
Safi sana mkuu.Dah siyo poa..nalala nimevaa sweta mbili na na jifunika blanketi zito sana..
Anaumwa?Hii picha imeniumizaView attachment 1890084