Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,900
- 147,519
Super dimplessssss[emoji7]
Super dimplessssss[emoji7]
Waq ni lugha ya wapi tena?Moya:uko na dimpoz nzuri sana.
Waq/mbili: hakuna kijana anaependa kujifananisha na mzee bibie Mimi ni mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijapima muda kidogo, mama angu alikuja huku last month aliniambia sina nachonenepa zaidi ya mashavu na tumbo [emoji23]
Sadly Hautibiki mkuu,, "treatment will only slow the progression of the disease but won't cure it" na in fact ameshafanya some attempts but it only gets worse! nmeshindwa kupakia link mkuu unaweza kwenda Google ukafatilia fatilia kwa kina..Hakuna matibabu? Kwakuwa pesa kwake sio tatizo
Ni mimi tu ndio nilikuwa sipendi kutembea[emoji23][emoji23] company yako nayo ilikuwa ya kimwali sana. Mnashinda ndani kama utumbo?
Hizo dimponzi kama nazifananisha vile......
Saint AnneNi mimi tu ndio nilikuwa sipendi kutembea
Binafsi sijambo kabisa....vipi wewe hujambo mkuu?
Umejificha/ziba mno japo nimeona mtuno wa lipsi kwa mbaaaaaaali!!TBT
A year ago [emoji3590][emoji3590]
Exactly Aug13,2020.
Kama si Bwana...
Israel na aseme Sasa[emoji119][emoji120][emoji120]View attachment 1890734
Sijambo kabisa kiongozi, furaha yangu kusikia nawe upo ok.Binafsi sijambo kabisa....vipi wewe hujambo mkuu?
Marahaba Ely
Vizuri sana kama hujambo na wewe mkuu
Umenikumbusha August 13 ya fid QTBT
A year ago [emoji3590][emoji3590]
Exactly Aug13,2020.
Kama si Bwana...
Israel na aseme Sasa[emoji119][emoji120][emoji120]View attachment 1890734
Unataka kubisha Nini?Waq ni lugha ya wapi tena?
Mzee wa maandishi labda [emoji23]
Aunt naona tumepata kondoo mpya [emoji23]Marahaba Ely
Ni matumaini yangu umepona.
Tuende Sasa kanisani ukaokoke.
Asante Sana, muda kidogo sijatembelea hapa nimemiss mengi nadhani?Vizuri sana kama hujambo na wewe mkuu
Karibu sana kiongozi
Bado sijapona kivile japo maendeleo siyo haba mpendwa wanguMarahaba Ely
Ni matumaini yangu umepona.
Tuende Sasa kanisani ukaokoke.
Ukitaka/fika muda wa kuvaa viatu naomba nichukue nafasi ya kukuvalisha viatu vyako mkuuMawardat[emoji7]View attachment 1890972