T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,092
- 30,494
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema Ely, Shikamoo.
Shikamo tena[emoji3]
Haya bhana Chilita
Chati na picha
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema Ely, Shikamoo.
Naona binamu kaoga sembe,kuna usalama kweli??Ankali
Binamu yako amechangamka leo[emoji16][emoji16][emoji16]
Anaumwa "some kind of a rare dangerous disease"Diet Kama sio madawa[emoji848][emoji19]
Anaumwa "some kind of a rare dangerous disease"Kapatwa na nini huyu Mama mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni nakumbuka mwaka jana amefiwa na mume wake
Young kabisaaa.TBT
A year ago [emoji3590][emoji3590]
Exactly Aug13,2020.
Kama si Bwana...
Israel na aseme Sasa[emoji119][emoji120][emoji120]View attachment 1890734
DogoTBT
A year ago [emoji3590][emoji3590]
Exactly Aug13,2020.
Kama si Bwana...
Israel na aseme Sasa[emoji119][emoji120][emoji120]View attachment 1890734
J HUS namuelewa sana barz zake hasa kwenye ile Did u see.My favorite at the moment ni Stormzy na Nines.Ohhh yeah ....he is really dope!!!! J Hus vipi...unamuelewa???
Sijui kwanini ila napenda sana accent za hawa English rappers 😊😊 Kuna namna flani hivi 😁
[emoji23]Dogo
Location reminds me 'em good old days.
Friday nilikuwa sipatikani chuoni kwangu, nashinda Info, Humanity jpl naamkia bondeni usiku narudi napopaswa kuwa. Ikafikia hatua niliomaliza nao baadhi wakawa hawaelewi nasoma wapi.
Mimi mzee boss.Young kabisaaa.
Yaani mwaka Jana unapambana na MMEMKWA halafu uwe mzee!!Mimi mzee boss.
Hiyo picha ya mwaka Jana kipindi roho yangu inapambana na shule ya MMEMKWA.
MMEMKWA ni elimu ya watu wazima.Yaani mwaka Jana unapambana na MMEMKWA halafu uwe mzee!!
Tafadhali usitunyime shikamoo sisi Babu zenu.
JF watu kwa kupenda kujipa uzee hamjambo.Yaani mwaka Jana unapambana na MMEMKWA halafu uwe mzee!!
Tafadhali usitunyime shikamoo sisi Babu zenu.
Hivi una kilo ngapi sasahivi?
Moya:uko na dimpoz nzuri sana.
😂😂 company yako nayo ilikuwa ya kimwali sana. Mnashinda ndani kama utumbo?[emoji23]
Mimi vyuo vingine sijawahi kufika [emoji1751]
Sijui hata nilikuwa nafanya nini Dodoma .
Sijapima muda kidogo, mama angu alikuja huku last month aliniambia sina nachonenepa zaidi ya mashavu na tumbo 😂Hivi una kilo ngapi sasahivi?
Naona umeongezeka.