Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jangid plaza zilipokuwa ofisi za kufundisha jinsi ya kudaunilodi pesa kwa FOREX...

View attachment 1887608

Tupeane michongo Boss maeneo hayo

IMG_0116.jpg
 
Anzia Ayubu 1:1
Nilipenda sana mazungumzo ya Mungu na Shetani "Mungu anamuuliza Shetani eti umetoka wapi Shetani, Je umemwoma mtumishi wangu Ayubu" Shetani naye anajibu nimetoka huku na huko Duniani.....

Yaani it's like mazungumzo ya watu wenye kufahamiana kwa muda mrefu, na kwa akili za Kibinadamu Mungu alikuwa na uwezo wa Kumkamata Bwana Shetani na Kumwajibisha pengine kumfunga Milele ili sisi tuishi maisha ya raha mustarehe, instead they enjoyed conversation huku Sisi wengine sasa ndiyo tunapewa kazi ya kumshinda Shetani na mambo yake yote ili Twende Mbinguni.

Kwa kweli Mungu ametupa mtihani mgumu sana, yaani Kamanda Sirro anakutana na Jambazi kuu badala ya kulikamata analiacha liendelee kutishia usalama wa watu na Mali zao 😭😭
Shetani kajibu zake very casual 😁😁...yani kama anaongea na mshkaji wake tu.

Ofcourse uwezo huo anao but then the whole concept of free will isingekuwepo. Ameamua kutuacha tujiamulie wenyewe....😏😏
 
Shetani kajibu zake very casual 😁😁...yani kama anaongea na mshkaji wake tu.

Ofcourse uwezo huo anao but then the whole concept of free will isingekuwepo. Ameamua kutuacha tujiamulie wenyewe....😏😏
Yaani hilo andiko la Ayubu limefanya nione kama kuna hujuma tumefanyiwa, yaani unamkamta adui yako on the spot lakini unaamua kumwachia tu eti.

Mimi naamini angemkamata pale na kumfunga huenda saivi tungekuwa tunaishi milele hapa Duniani
 
Dooh Apumzike kwa amani mpendwa wetu. Mungu aitie nguvu familia yake.
TANZIA TANZIA TANZIA

Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...

Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....

Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...

So sad...

Mshana Jr
 
Yaani hilo andiko la Ayubu limefanya nione kama kuna hujuma tumefanyiwa, yaani unamkamta adui yako on the spot lakini unaamua kumwachia tu eti.

Mimi naamini angemkamata pale na kumfunga huenda saivi tungekuwa tunaishi milele hapa Duniani
Hayo maisha ya milele sasa....yanaonekana ni bomba sana so we have to earn it!!!
 
Back
Top Bottom