Hata shetani alikuwa busy na mambo yakeNaomba nisiulizwe kwanini nime iZoom hiyo picha to the maximum, na mtu yeyote asihusishwe na maamuzi niliyoamua kuyachukua asubuhi yote hii 🙈😜🏃🏻🏃🏻🏃🏻
Watatu.watoto unao wangapi??.....
niangalie ni namna gani naweza kuhimili kua baba wa kambo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Usinikumbushe mazungumzo ya Shetani na Mungu kumuulizia mtumishi wake Ayubu.Hata shetani alikuwa busy na mambo yake
Sura...mistari??? Nimetamani kusoma.....Usinikumbushe mazungumzo ya Shetani na Mungu kumuulizia mtumishi wake Ayubu.
Interesting 🙌
Hadi wazee mnatumia povu? Ariririri 💃Na macho ya Uzee niliyonayo nimeona, wasiwasi wangu ni kama nitatoka salama bafuni bila kumaliza kipande cha Mbuni nilichobeba 😅
Anzia Ayubu 1:1Sura...mistari??? Nimetamani kusoma.....
Mjukuu kuna wakati mambo yanakuwa bilabila na Bibi yako, solution unakimbilia bafuni na kipande cha Mbuni unamaliza safiii kabisa🙊🏃🏻🏃🏻🏃🏻Hadi wazee mnatumia povu? Ariririri 💃
Admin amezingua, mambo yake binafsi na huyo mrembo anaya publicize kwenye Ukurasa rasmi wa Wizara 😅🙌
Interesting..
Niliona mtu kaweka WhatsApp status, inachekesha ni kama Acc iko hacked 😂 au Admin kajisahau?Admin amezingua, mambo yake binafsi na huyo mrembo anaya publicize kwenye ukurusa rasmi wa Wizara 😅🙌
Hackers wame hack, ngoja nimtafutie Balimi 3 huyo Hacker kwa kazi kubwa aliyofanya 😀Niliona mtu kaweka WhatsApp status, inachekesha ni kama Acc iko hacked 😂 au Admin kajisahau?
wachache...na wangu mmoja 4 kids tutawalea watoto wetu vzuriWatatu.
Utawaweza??



.....hope watatusaidia mimi na ww tukizeeka pamoja