Selfika na JF: Snap it. Show it

we mtoto tema mate chini niwe mke wa huyo nimemkosea nini muumba mie??
nitue kabisa mtoto wa mwanamke mwenzio!!

Yaani wewe tena nafasi ya nne ndio inakufaa kabisa,kwanza tunafunga mahesabu pili unakuwa pamoja na mimi sababu wale watatu wa mwanzo wataungana kukuhujumu wewe,basi mimi ndio nitazidisha mapenzi tena na tena.

Hakuna starehe kama ya kuwa na wake wengi bibie.

Nimemaliza .....
 
niombee tu ndugu yangu ndiyo maana nasema siwezi kuolewa na huu ubishi sitaki kumtesa mtoto wa mtu mimi yaani nikiona nimeshindwa kabisa kuacha ubishi basi bora nisiolewe tu nitafute hela niwe nazurura duniani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…