ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,517
- 119,360
Mimi nimecheka vingi...Na unajua..
Ngoja nitulie![]()


mimi nimechekeshwa na kimoja, hatari hii asee!Halafu hicho unachosema hata sikijui!
Mimi nimecheka vingi...Na unajua..
Ngoja nitulie![]()


mimi nimechekeshwa na kimoja, hatari hii asee!mimi nimechekeshwa na kimoja, hatari hii asee!
Halafu hicho unachosema hata sikijui!





Kuna namna ile picha ya yna, nimeangalia tu nikaona kitu, kikanikumbusha kitu.
Sawa na usikijue tuu..Kwani yana muda sasa?
Umechekeshwa na nini? Nishirikishe basi.




Utakuwa umechanganya ID wewe


HahahahaAiseetupia ya lindoni .
Huyo wa kwenye font fedi anavuta bangi ?
Pasafi kama mitaa ya Ulaya
Dogo!!!
Umeona vitu Baba yako alivyoamua kuja navyo? Nacheka mimi![]()




Shunie hajambo ?
Yupo wapi ?Hajambo mwaya
nikiona watu wanapendana nakumbuka mbaliView attachment 1885290
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app



Mnalewa wapi ?
Sasa hivi mkikutana mnanyweshana sumu....!Imenikumbusha mimi na Ex wangu tulikuwa mpaka tunanyweshana soda![]()
hahahhahahaha mlikua na miaka mingap??Imenikumbusha mimi na Ex wangu tulikuwa mpaka tunanyweshana soda![]()