geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
ngoja tulizoe zoee....litakua zuri huko mbeleniJamani G![]()
Hili libaya eeh? .




Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ngoja tulizoe zoee....litakua zuri huko mbeleniJamani G![]()
Hili libaya eeh? .




HahahahaNdivyo Ilivyokua kwa Ndugu Yangu Mpendwa Bwana Heriel, Baada Ya Kugundua Bi Harusi Alishawai Kuzaa Watoto wa 4 na aliwaficha … Bado bwana Harusi Amezima Hapa Kanisa KimaraView attachment 1884305
mla mitaa😀umekimbilia wapi nowKaribu mkuu ila sipo huko.
Maana ya chakori hiyo... niliikuta sehemu kwenye pita pita zangu....Hata sijaielewa hiyo sentensi joh..mzima lkni.umekuwa adimu sana
Mpe dogo jezi ya utopolo inaendana na hayo majani hiyo kachome moto😅
Dogo kapendeza na uzi wa mnyamaaaaa!Mpe dogo jezi ya utopolo inaendana na hayo majani hiyo kachome moto![]()



Nimekimbia baridi.mla mitaaumekimbilia wapi now
Nipe ramani kwanza.Mnalewa wapi ?
Maisha yanabadilika.

tubadilishane aisee....mimi nimeacha pombeMaisha yanabadilika.
Mimi napiga balimi,kalumbu anakunywa spar letta![]()