Kila kilevi kina kiasi chake cha kulewesha kimeandikwa kwenye Chupa, let's bia X ina 4.8% alcohol kwahiyo ukinywa chupa labda 5 manake utakuwa na kilevi kichwani 24%.
Tena kama itakuwa mara yako ya kwanza lazima uone Dunia inazunguka live
Mtakatifu kuwa mpole tu usiendelee kusema pombe yetu vibaya
Maana siku utakayoja kuijaribu mojawapo basi ndo siku utakayoweza kutunza kumbukumbu za majina ya pombe