Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nilishasema humu siwezi kulewa.
Yaani ninywe Halafu nilewe!!nalewaje??
Haiwezekani!
Huwa hainiingii akilini kabisa kama kuna kitu kinaitwa kulewa.
Kila kilevi kina kiasi chake cha kulewesha kimeandikwa kwenye Chupa, let's bia X ina 4.8% alcohol kwahiyo ukinywa chupa labda 5 manake utakuwa na kilevi kichwani 24%.

Tena kama itakuwa mara yako ya kwanza lazima uone Dunia inazunguka live πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…