donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Ni mzembe kweli kweli
Ni mzembe kweli kweli
Mkuu acha kutupiga kamba.Up to down, jumla buku mbili ()
Nikikupiga ngumi ngapi Unaweza kuzimia?Ni mzembe kweli kweliView attachment 1876615
Pandisha juu kidogo commando.Ni mzembe kweli kweliView attachment 1876615
Rafiki umevaa kanzu?Happy weekend wanakuselfika woteView attachment 1875966
Mkuu acha kutupiga kamba.
Ina maana nguo+saa+soksi,sandalz vyote kwa pamoja ni buku 2?





Matamu kama kule😅😅😅

Sasa commando si nafanyia mazoezi mwili wako..mkuu unapenda ugomvi

Kamanda wa kuvunja simu
Kumbe dogo anapiga hapo UDBS