Nipe shikamoo nilikuwa nina 19 mdogo wangu.Mwaka 1959 eeeh!?
Nilikuwa na miaka 15. Miaka imekimbia sana aisee![]()
Ukifika nishtue..Ukapita bila kuchungulia pale? Nilipitapo juzi kati kwa mguu nikachekaa rohoni![]()
Next weekend nitakuwa ununio beach
Machakani hadi ununio ni chocho kwa chocho imooo![]()
Ukapita bila kuchungulia pale? Nilipitapo juzi kati kwa mguu nikachekaa rohoni![]()
Next weekend nitakuwa ununio beach
Machakani hadi ununio ni chocho kwa chocho imooo![]()


Utakuja kufa na sukariChat na picha
View attachment 1874161
Nalīmhola bahebu. Jamahe?Marahaba Ginehee.
Kapo poa saaaana ka my first ladyKabebi hakajambo
Yaan chupa moja tu kwa week ndio unaniambia maneno hayo 🥺Utakuja kufa na sukari
Nisiposahau.Ukifika nishtue..