Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Uzuri hiyo chanjo ni hiari na imani kama alivyosema."Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalamu na wataalamu wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ugomvi na mtani wangu Mshana Jr View attachment 1871565
Buza relini?Wapi hapa...View attachment 1871664
Aahh wapi...ndo mi vichaka yote hayo!!!Buza relini?
Happy Birthday KalumbuWanaselfika mimi mwanachama mwenzenu leo nimefanikiwa kuongeza mwaka mwingine......imetimia 28
Mwakani inabd nioe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ett??
happy birthday to me GERALD View attachment 1870953
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Umejitoboa tundu kubwa.
Au naona vibaya!?
Aiseeeeeeeee!!Probably atakuwa ni T 1990 ELY
Duh!!..umekaribi/pita kwetu
shukrani sana KarmaHappy Birthday Kalumbu
Nakutakia maisha marefu yenye baraka tele kaka
Mungu akulinde na akupe kila hitaji la moyo wako lililo jema