Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

sibeti na ww.....inawezekana ww ndio mrs Mpili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku ile england yakatukuta leo tena yanga


ww ni mwanakamati ya ufundi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sioni hata umeandika nini 🤣🤣

Hiyo desperados inakuja haikuji? Nimwambie uncle mwenye kilinge chake akutengeneze uilete huku unakimbia 🤣🤣

Kuna mwingine nilibet nae sahivi hajibu msg... Nyie watu Mungu anawaona
 
Yanga.2 simba 1
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
IMG-20210726-WA0058.jpg
 
Yanga mbele wamaliziaji wamepwaya sana,au ni mimi naangalia vibaya[emoji2362]

Hivi Yanga wanashindwa kucheza bila kupiga wenzao?
Tushapata kadi nyekundu wajinga hawa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawa pilipili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG-20210726-WA0058.jpg
 
Sioni hata umeandika nini [emoji1787][emoji1787]

Hiyo desperados inakuja haikuji? Nimwambie uncle mwenye kilinge chake akutengeneze uilete huku unakimbia [emoji1787][emoji1787]

Kuna mwingine nilibet nae sahivi hajibu msg... Nyie watu Mungu anawaona
siku yako ya huzuni yaja.......

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom